• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ahamashisha upandaji wa Miti

Posted on: April 23rd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ahamashisha upandaji wa Miti

Kuelekea kilele cha Sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, Mwaka huu.  Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilema amepanda Miti ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zoezi hilo la upandaji wa Miti mbalimbali lilifanyika Aprili 23, Mwaka huu katika Viwanja vya Nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe pamoja na Nyumba ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Korogwe.

Zoezi hilo la upandaji wa Miti lilishirikisha pia Katibu Tawala wa Wilaya ya Korogwe Bi. Mwanaidi Rajabu, Maafisa Tarafa kutoka Tarafa zilizopo Wilaya ya Korogwe, Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji wa Korogwe Pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka Wilaya ya Korogwe Mjini pamoja na Korogwe Vijijini.

Kauli Mbiu ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano: Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa letu”

“Naomba tuadhimishe miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa upandaji wa miti katika maeneo yetu, zoezi hili la upandaji wa miti liwe endelevu kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo” alisema Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilemwa wakati wa zoezi la upandaji wa Miti kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mhe. Mwakilema alisisitiza kuwa ni vyema Wananchi wakati wa upandaji wa miti, wapande miti yenye tija itakayowanufaisha kwa matunda Pamoja na Mbao.

Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Katika Wilaya ya Korogwe yanaadhimishwa kwa upandaji wa miti, Usafi wa Mazingira, Mdahalo juu Matunda ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Pamoja na Michezo mbalimbali. Uratibu wa zoezi lote la Maadhimisho litakuwa chini ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe akishirikisha Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Mji wa Korogwe Pamoja na Taasisi zote za Serikali zilizopo Wilaya ya Korogwe.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.