Mkulima Bw. Yasini Ramadhani mkazi wa Mtaa wa Manzese kata ya Bagamoyo ambaye anashughulika na kilimo cha Nyanya pamoja na Magimbi ameiomba Serikali kuwasidia katika mikopo ya riba nafuu ili waweze kupiga hatua zaidi kwa kulima Eneo kubwa ili kuondoka na Kilimo duni. Bw. Ramadhani alitoa ombi hilo wakati alipotembelewa na Maafisa Kilimo na Mifugo kutoka Halmashauri ya Mji wa Korogwe Julai 27, 2025 Shambani kwake Mtaa wa Manzese.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.