Halmashauri ya Mji wa Korogwe imekamilisha Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu (Two in One) iliyojengwa katika Shule ya Sekondari Msambiazi kata ya Mtonga Imekamilika kwa Asilimia 100%. Ujenzi wake umegharimu kiasi ya Shilingi Milioni Tisini na Nane (98,000,000.00) na Walimu wapo wanaishi tayari wanafurahia Mazingira Bora mahali pa kazi.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.