Zoezi la uboreshaji la daftari la kudumu la mpiga kura kwa awamu ya pili laendelea katika jimbo la Korogwe Mjini Mei 16, 2025 na linatarajiwa kukamilika Mei 22, 2025. Takribani vituo 14 vilivyopo katika kata zote Kumi na Moja zinzounda Jimbo la Korogwe Mjini zitahusika katika zoezi hilo. Vituo vyote vitafunguliwa Saa 2:00 Asubuhi na vitafungwa Saa 12:00 Jioni, katika kipindi chote cha Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa awamu ya pili.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.