Afisa Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilaya ya Korogwe Bw. Raymond Katima amewaasa Wataalamu Pamoja na Wananchi kushiriki katika kuondoa takataka kwenye maeneo ya Soko, Nyumba za Makazi na Maeneo mengine yakiwemo Taasisi za Biashara zilizopo katika Halmashauri ya Mji waKorogwe.
Warsha ya Matokeo ya Uchambuzi wa Mfumo wa Uondoshaji Takangumu ilioandaliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilifanyika Aprili 10, 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.