• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Wilaya ya Korogwe yajipanga kupambana na ugonjwa wa Corona

Posted on: March 16th, 2020

Wilaya ya Korogwe yajipanga kupambana na ugonjwa wa Corona

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mh. Kissa Kasongwa ameitisha  kikao chini ya kamati ya huduma za afya ya msingi ( PHC) kujadili mpango mkakati wa kudhibiti ugonjwa wa Corona katika  Wilaya ya Korogwe. Kikao hicho kilifanyika Machi 16, mwaka huu katika ukumbi wa mikutano uliopo Chuo cha ualimu Korogwe.

Akizungumzai mkakati wa kupambana na maradhi ya Corona Mh. Kissa Kasongwa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alisema “ njia pekee ya kupambana na maradhi ya Corona ni kuhamasishana  katika jamii  kuzingatia usafi binafsi pamoja na  kuepuka mikusanyo isiyo na ulazima”. Mh. Kasongwa  aliendelea kufafanua kuwa kwa sasa Wilaya ya Korogwe ni salama na haina maambukizi ya maradhi ya Corona.

 Katika hatua nyingine Mh. Kasongwa alisema kuwa tayari Wilaya ya Korogwe  wameshatenga eneo maalumu kwa ajili ya watu watakaothibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Pia  alizipongeza Halmashauri ya Mji wa Korogwe pamoja na ya Wilaya ya Korogwe  kwa kutenga bajeti kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugojwa huo.

 Nae Dkt. Elizabeth Nyema ambaye ni Mganga mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe pamoja na Dkt. Frank Chiduo ambaye ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe walisema kuwa tayari wameshaanza kutoaa elimu ya mapambano dhidi ya maradhi ya Corona kuanzia ngazi za Vijiji, Mitaa hadi katika taasisi za serikali pamoja taasisi binafsi. Dkt. Nyema   alisema “ni vyema wananchi kuhakikisha wananawa mikono  kwa maji yanayotiririka mara kwa mara”.

Kwa upande mwingine Ndugu Cristopher Magafu ambaye ni  Afisa afya kutoka Halmashauri ya Mji wa Korogwe alisema “ ugonjwa wa Corona  huweza kuwapata watu wote wakike na kiume  hivyo kila mwananchi  anatakiwa  kuchukua tahadhari ya kujikinga” Ndugu Magafu alitoa ushauri kwa jamii kwa kusema kuwa mtu yoyote anaweza kutoa taarifa  kwenye huduma za kituo cha afya  anapoona mtu mwenye dalili za ugojwa wa Corona au kupiga simu namba 0800110124 au 0800110125.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo na Vifaa wezeshi

    July 11, 2025
  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.