Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Korogwe Mjini Bw. Elinlaa Kivaya amkabidhi fomu Mgombea wa Ubunge Jimbo la Korogwe Mjini Bi. Zainabu Shabani kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD). Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Korogwe Mji amemkabidhi fomu mgombea huyo leo Agosti 18 ,2025 katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini. Zoezi la uchukuaji wa fomu ya uteuzi Kwa nafasi ya ubunge limeanza Agosti 14, 2025 na linatarajiwa kuhitimishwa Agosti 27, 2025. “Kura yako Haki yako Jitokeze kupiga kura”.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.