Wananchi wa Mji wa Korogwe wajitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura
Wananchi wa Mji wa Korogwe wamejitokeza kwa vingi katika vituo mbalimbali vya kupigia kura kwaajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, Mwaka huu (2024). Viongozi waliopigiwa kura katika uchaguzi huo ni pamoja na Mwenyekiti wa Mtaa, Wajumbe wa Kamati ya Mtaa kundi mchanganyiko la Wanawake na Wanaume na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa kundi la Wanawake.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.