• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mji wa Korogwe waadhimisha Siku ya Wazee Duniani

Posted on: October 1st, 2020

Mji wa Korogwe waadhimisha Siku ya Wazee Duniani

Halmashauri ya Mji wa Korogwe imeungana na ulimwengu wote kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani. Siku ambayo huadhimishwa ifikapo Oktoba 1, ya kila mwaka. Katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe sherehe za maadhimisho hayo zimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Lengo kuu la maadhimisho hayo ni kuwatambua Wazee na kutambua changamoto walizonazo pamoja na kutafuta njia sahihi ya kutatua changamoto zao. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “familia na jamii tuwajibike kuwatunza wazee”.

Akizungumzia Siku ya Wazee Duniani Mh. Kissa Kasongwa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe na ndiye mgeni rasmi wa maadhimisho hayo alisema “mdau wa kwanza wa kumtunza mzee ni familia yenyewe”. Mh. Kasongwa alitoa nasaha kwa Vijana kwa kusema “vijana ni vyema kuhakikisha wazee walioko kwenye familia zetu tunawatunza ipasavyo”.

Kwa upande wa Ndugu Frank Fuko ambaye ni Afisa Ardhi na Mipango Miji katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe anayemuwakilisha Mkurugenzi alisema “tutahakikisha wazee wote wanapata huduma bora na kwaharaka zaidi watakapofika katika idara mbalimbali za Serikali”.

Nae Bi Felista Mkagulu ambaye ni Mwenyekiti wa Mabaraza ya Wazee katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe alisema”. naiomba Serikali kutoa kipaumbele kwa wazee wakati wa kupata huduma katika ofisi za serikali”  Kwa upande mwengine, Wazee walioshiriki katika maadhimisho hayo waliishukuru Serikali na wadau wote kwa kufanikisha maadhimisho ya mwaka huu.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo na Vifaa wezeshi

    July 11, 2025
  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.