• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Wilaya ya Korogwe yaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani

Posted on: May 1st, 2021

Wilaya ya Korogwe yaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani

Wafanyakazi kutoka Sekta za Umma pamoja na Binafsi Wilayani Korogwe wameadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani. Siku ambayo huadhimishwa Duniani  kote ifikapo Mei 01 ya kila mwaka. Kauli Mbiu ya mwaka huu ni Maslahi Bora, Mishahara Juu, Kazi Iendelee” Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Chuo Cha Ualimu Korogwe (Korogwe TTC) huku Mgeni rasmi akiwa Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe.

“Katibu Tawala nenda kwa Wakurugezi ukasimamie maslahi ya watumishi” alisema Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe wakati akizungumza na watumishi kutoka Sekta za Umma na Binafsi walioshiriki siku ya Maadhimisho ya Mei 01 mwaka huu. Mhe. Kasongwa alifafanua kuwa Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iko bega kwa bega na watumishi na itahakikisha kila mtumishi anapata maslahi bora ili kufikia malengo yake.

“Wafanyakazi wajiunge kwa wingi kwenye vyama vya wafanyakazi ili kua na sauti ya pamoja katika kutetea maslahi ya wafanyakazi”. Alisema Ndugu Mohamed Semkamba ambaya ni Mwenyekiti wa Shirikisho huru la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Wilaya ya Korogwe. Nae Bi. Pili Mdoe ambaye ni Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilayani Korogwe aliwasilisha risala kwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe huku  alitoa msisitizo kwakusema “changamoto kubwa inayowakumba watumishi ni kuchelewa kupanda madaraja (mishahara) kwa wakati”.

Kwa upande mwengine, Wafanyakazi kutoka Vyama mbalimbali kama vile TALGWU, CWT, TUGHE, TUICO pamoja na Chama cha TPAWU walitoa shukrani kwa Viongozi wa vyama  vya Wafanyakazi na Serikali kwa ujumla kwa maandalizi mazuri ya Maadhimishi hayo. Katika Maadhimisho ya Mwaka huu Watumishi pia walishiriki katika michezo mbalimbali kama vile  mchezo wa Mpira wa miguu pamoja na Mpira wa mikono (Rede). Michezo mingine ni pamoja na Kuruka Kamba, Kukuna Nazi pamoja na Mbio za Kukimbia na Magunia.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo na Vifaa wezeshi

    July 11, 2025
  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.