Halmashauri ya Mji wa Korogwe yakamilisha ujenzi wa Bweni katika Shule ya Sekondari Ngombezi kwenye kata ya Mgombezi. Mradi huo umegharimu kiasi cha Shilingi milioni 130,000,000.00 hadi kukamilika kwake. Kukamilika kwa Bweni hilo litasaidia Wanafunzi waliokuwa wanatoka mbali na Shule kuwa karibu na maeneo ya Shule Pamoja na kuhudhuria vipindi vyote na kuongeza ufaulu kitaaluma na kupunguza utoro.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.