Mratibu wa Dawati la Mtoto Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Amina Fundi akiambatana na maafisa wa maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya Mji Korogwe wametoa Elimu ya Ukatili wa Kijinsia kwa makundi mbalimbali yakiwemo Watoto, Wazee ,Wanawake pamoja na Wanaume wanaopitia na changamoto katika jamii. Elimu hiyo imetolewa wakati walipokuwa wanahuwisha kamati za MTAKUWWA (Mpango wa Taifa wa kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Watoto). Elimu hiyo imetolewa leo Agosti 21 (Mwaka huu) 2025 katika Ofisi ya Kata ya Magunga ikijumuisha Wananchi wanaotoka katika kata ya Magunga na Masuguru
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.