• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mwanaidi Rajabu: Acheni kutumia muda wa kazi za Umma kufanya kazi binafsi

Posted on: August 22nd, 2023

Mwanaidi Rajabu: Acheni kutumia muda wa kazi za Umma kufanya kazi binafsi

Katibu Tawala wa Wilaya ya Korogwe (DAS) Bi. Mwanaidi Rajabu amewataka Watumishi wa Umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe pamoja na Halmashauri ya Mji wa Korogwe kujiepusha kutumia muda wa kazi za Umma kufanya kazi Binafsi. Wito huo aliutoa wakati wa Kikao Maalumu cha Kujitambulisha rasmi kwa Watumishi wa Halmashauri hizo pamoja na kukumbushana Kanuni naTaratibu za utumishi wa Umma. Kikao hicho kilifanyika Agosti 22, Mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

“Watumishi wezangu tujiepushe kutumia muda wa kazi za Umma kwenda kufanya kazi Binafsi” alisema Bi. Mwanaidi Rajabu ambaye ni Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Korogwe wakati akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe pamoja na Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Bi. Mwanaidi alifafanua kuwa Mtumishi anapotumia muda wa kazi za Umma kufanya kazi Binafsi anazoroteja jitihada za serikali katika kuwaletea Wananchi maendeleo pamoja na kwenda kinyume na Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.

Katika hatua nyengine, Bi. Mwanaidi Rajabu amewataka Watumishi wa Umma wafanye kazi kwa bidii na kwa umakini mkubwa sambamba na kutumia lugha ya busara wakati wa kuwahudumia Wananchi.  Nao  Wakurugenzi wa Halmashauri zote mbili, Wilaya ya Korogwe pamoja na Mji wa Korogwe  walitoa Shukrani kwa  Katibu Tawala kwa  jinsi alivyotoa nasaha za Kiutumishi kwa Watumishi na kumuahidi kusimamia kwa umakini Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma kwa lengo la kuongeza ufanishi na uwajibikaji kwa Watumishi.

Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Shule ya Sekondari Semkiwa yapata Msaada wa Kompyuta

    August 23, 2023
  • Mwanaidi Rajabu: Acheni kutumia muda wa kazi za Umma kufanya kazi binafsi

    August 22, 2023
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe atembelea Miradi ya Maendeleo

    August 18, 2023
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe apokea Cheti cha Shukrani kutoka Shirika la US Peace Corps Tanzania

    July 12, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.