• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi atembelea vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Korogwe Mjini

Posted on: May 19th, 2025

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amewataka wa Wananchi wa Jimbo la Korogwe Mjini kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la Uboreshaji wa Taaarifa zao  pamoja kutoa taarifa za watu waliofariki na wasio raia wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ili waondolewe kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.  Mh. Jaji Mwambegele alitoa kauli hiyo  wakati wa kupokea taarifa ya zoezi zima la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kutoka kwa Afisa Mwandishikishaji wa Jimbo la Korogwe Mjini Bi. Mwashabani Mrope Mei 19, 2025 katika Ofisi ya Afisa Mwandikishaji Jimbo la Korogwe Mjini.

Kwa upande mwingine Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amempongeza Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Korogwe Mjini kwa kazi kubwa anayoisimamia na zoezi la Uboreshaji linaenda vizuri. Kisha Jaji Mwambegele alipata wasaa wa kutembelea Vituo vya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la mpiga kura ili kuona hali  halisi ya zoezi linavyokwenda. Vituo alivyotembelea Mh. Jaji Jacobs Mwambegele ni pamoja na  kituo cha Shule ya Msingi Mazoezi kilichopo Kata ya Manundu, Kituo cha Chuo cha Ualimu Korogwe (TTC) na Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa kata ya Majengo.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Maafisa Elimu kata, Walimu Wakuu, Maafisa Ustawi wa Jamii, Wenyeviti wa Kamati za Shule za Mji wa Korogwe wapatiwa Mafunzo ya Elimu Jumuishi.

    May 29, 2025
  • Mkuu wa Mkoa atembelea ujenzi wa Nyumba ya Daktari Zahanati ya Lwengera.

    May 27, 2025
  • Shilingi Milioni Sitini zatolewa na Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

    May 20, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi atembelea vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Korogwe Mjini

    May 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.