• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Naibu Waziri wa TAMISEMI atoa pongezi kwa Mji wa Korogwe

Posted on: January 8th, 2021

Naibu Waziri wa TAMISEMI atoa pongezi kwa Mji wa Korogwe

Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Dkt. Festo Dugange amefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo  inayotekelezwa na serikali ya awamu  ya Tano. Ziara hiyo imefanyika Januari 8, mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Korogwe.

 “Niwapongeze kwa taarifa nzuri ya Halmashauri iliyotolewa na Mkurugenzi” Mhe. Dkt.  Festo Dugange alisema wakati akizungumza na watumishi wa umma pamoja na kupokea  taarifa  kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe kuhusu Mapato na Matumizi ya Halmashauri, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta za afya, barabara pamoja na utoaji wa mikopo ya asilimia kumi kwa Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu. 

Kwa upande mwengine Mhe. Dkt. Festo Dugange alitembele Hospitali ya Mji wa Korogwe (magunga) kwa lengo la kuangalia utoaji wa huduma za afya katika hospitali  hiyo pamoja na kupata nafasi ya kusalimiana na  wagojwa waliokuja kupata huduma hospitalini hapo.  Mhe. Dkt. Dugange alihitimisha ziara yake kwa   kutembelea mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika Mtaa wa Kwamkole.  

Nae Mhe. Kissa Kasongwa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe  alitoa shukrani kwa Naibu Waziri wa TAMISEMI kwa kutembele Halmashauri ya Mji wa Korogwe na kuahidi kufanyia kazi maelekezo yote aliyotoa ili kuhakikisha Halmashauri ya Mji wa Korogwe na Serikali kwa ujumla inafikia malengo yake.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.