• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Wananchi wa Mji wa Korogwe wakabidhiwa Hati za Viwanja

Posted on: August 3rd, 2021

Wananchi wa Mji wa Korogwe wakabidhiwa Hati za Viwanja

Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Tanga Bi. Rosemery Mshana amekabidhi Hati za Viwanja Hamsini na Tano (55) kwa Wananchi wa Mji wa Korogwe. Hati za Viwanja zilizokabidhiwa zilihusisha maeneo ya makazi yaliorasimishwa pamoja na maeneo ya viwanja vya mradi. Mchakato huo wa kukabidhi Hati za Viwanja umefanyika Agosti 3, mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

“Hati za Viwanja tulizomikabidhi zitasaidi kuepusha migogoro ya ardhi katika familia na jamii kwa ujumla” alisema Bi. Rosemery Mshana ambaye ni Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Tanga. Bi. Rosemery alifafanua kuwa kila mwananchi aliekabidhiwa Hati yake ni vyema akaitunza vizuri kwasababu Hati ya Kiwanja ni dhamana itakayotumika kwenye shughuli mbalimbali.

“Tunaendelea na mchakato wa kurasimisha maeneo ya Mji wa Korogwe katika maeneo ambayo bado hayajarasimishwa” alisema Ndugu Frank Fuko ambaye ni Mkuu wa Idara ya Ardhi na Mipango Miji katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe anayemuwakilisha Mkurugenzi. Ndugu Fuko alifafanua kuwa kwa Wananchi ambao hawajakuja kuchukua Hati za Viwanja vyao, Maafisa Ardhi watawasiliana na wahusika ili wakabidhiwe hati zao.

Kwaupande mwengine,Wanachi waliokabidhiwa Hati za Viwanja vyao walitoa shukrani kwa Idara ya Ardhi na Mipango Miji ya Halmashauri ya Mji wa Korogwe na Serikali kwa ujumla kwa kukabidhiwa Hati za Viwanja vyao.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.