Posted on: December 1st, 2025
Wafanyabiashara wa soko la Manundu lilipo katika Kata ya Manundu Halmashauri ya Mji Korogwe wafurahishswa na utendaji kazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe aliyewatembelea na kuzungumza nao...
Posted on: December 6th, 2025
Mratibu wa Mikopo asilimia 10 kwa wanawake, Vijana na walemavu Bi.Rahma Kahelo aongoza mafunzo ya mbinu mkakati kiuchumi kwa wanuafaika wa mikopo. Wanufaika hao wamepatiwa mafunzo ya siku tatu kuanzia...