Posted on: June 11th, 2025
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Mh. Francis Komba amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe kushirikiana na Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope katika kufanya kazi...
Posted on: June 9th, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Bw. Ismail Ali Ussi ameweka Jiwe la Msingi Nyumba ya Mganga Mfawidhi Lwengera Darajani katika Halmshauri ya Mji wa Korogwe. Kukamilika kwa Nyumba hii ...
Posted on: June 8th, 2025
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Mh. Francis Komba anawakaribisha Wananchi wote wa Mji wa Korogwe kujitokeza kwa wingi Siku ya Jumatatu ya Tarehe 9 Juni, 2025 katika Viwanja vya Shule ya Se...