Posted on: December 6th, 2025
Mratibu wa Mikopo asilimia 10 kwa wanawake, Vijana na walemavu Bi.Rahma Kahelo aongoza mafunzo ya mbinu mkakati kiuchumi kwa wanuafaika wa mikopo. Wanufaika hao wamepatiwa mafunzo ya siku tatu kuanzia...
Posted on: December 3rd, 2025
Baraza jipya la madiwani Halmashauri ya Mji Korogwe limeapishwa na kuanza rasmi majukumu yake 03/12/2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Korogwe. Katika baraza hilo Mkurugenzi Bi. Zahara Msangi &n...