Posted on: August 19th, 2025
Wakuu wa Shule, Walimu wakuu pamoja na Walimu wa Fedha wapatao Themanini na mbili (82) kutoka Shule za Msingi na Sekondari za Serikali Halmashauri ya Mji wa Korogwe wamepatiwa mafunzo jinsi ya kutumia...
Posted on: August 18th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Korogwe Mjini Bw. Elinlaa Kivaya amkabidhi fomu Mgombea wa Ubunge Jimbo la Korogwe Mjini Bi. Zainabu Shabani kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD). Ms...
Posted on: August 15th, 2025
Mafunzo ya Vikundi 17 vilivyoidhinishiwa kupatiwa mikopo ya asilimia kumi yahitimishwa leo Agosti 15, 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Mafunzo hayo yaliendeshwa kwa Muda wa Siku ta...