Posted on: June 5th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe amewataka Wataalamu wa Halamshauri ya Mji wa Korogwe kuhamasisha Wananchi kujitokeza kwa Wingi siku ya jumatatu Juni 9, 2025 katika Viwanja vya Shule ya Wasichana ya Korogwe ...
Posted on: June 4th, 2025
SIKU: JUMATATU
MAPOKEZI: VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE
MKESHA: VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI KILIMANI – MTONGA
KAULI MBIU: “Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ...
Posted on: May 29th, 2025
Bi. Sharifa Wanja Afisa Elimu Awali na Msingi amefungua mafunzo ya siku tatu kwa Maafisa Elimu kata, Maafisa ustawi wa jamii ,Walimu wakuu pamoja na wenyeviti wa kamati za Shule kwa niaba ya Mkurugenz...